Ndoto za Arsenal mabingwa Ulaya zaota mbawa yachapwa na PSG

Mji mkuu wa Ufaransa umeendelea kuwa mahali pa majonzi kwa timu hiyo ya London Kaskazini. Walifungwa na Barcelona katika fainali yao pekee ya mwaka 2006

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *