Ndege za kivita za Marekani na Uingereza zashambulia Yemen, raia 18 wauawa

Ndege za kivita za Marekani na Uingereza zimeishambulia Yemen kwa ukatili, zikiua raia 18, kufuatia agizo la rais wa Marekani kutumia “nguvu kubwa ya maangamizi” dhidi Yemen baada ya taifa hilo kupiga marufuku meli za Israel kupitia maeneo muhimu ya baharini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *