Ndege za Iran zimeimarishwa kwa makombora tuli ya masafa marefu

Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: “Ndege zote za kivita za Jeshi la Anga zina silaha, vifaa na makombora ya kisasa ya masafa marefu yaliyotengenezwa humu humu nchini.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *