Nchi za Magharibi zina nafasii gani katika kuongezeka ugaidi Afrika? 

Kuongezeka kwa shughuli za kigaidi katika maeneo mbalimbali ya Afrika kumegeuka kuwa tatizo kubwa katika bara hilo na pia katika mataifa mengi duniani. Hivi sasa, makundi kadhaa ya kigaidi yanaendesha shughuli zao katika maeneo tofauti ya Afrika.