Nchi nyingine zitajibu nini juu ya ushuru wa Trump?

“Tutalipiza kisasi … dola kwa dola,” ameiambia BBC, akikejeli sababu ya Trump juu ya dawa za kulevya za fentanyl na kusema Canada “itajibu.”mgombeaji wa nafasi ya waziri mkuu wa nchi hiyo, Mark Carney anasema.