Nchi 9 zaunda ‘Kundi la Hague’ kutetea haki za Wapalestina

Nchi tisa zimetangaza kuunda “Kundi la Hague” la kupigania haki za wananchi madhulumu wa Palestina.