NBC Premier League
Jumatano hii Juni 18, raundi ya 29 kupigwa, mechi zote nane kuchezwa saa 10:00 jioni na michezo yote kuwa mbashara kupitia AzamTV.
Lipia mapema kifurushi chako cha Shilingi 28,000 ili usipitwe na michezo hii
#NBCPL # AzamTVSports