NBA Finals
Oklahoma City Thunder watakuwa Paycom Center wakiwakaribisha Indiana Pacers katika Game 5 ya fainali ya NBA. Katika Game 4 Thunder alipata ushindi kwa vikapu (111 – 104) na matokeo kuwa 2 -2.
Je, Thunder watatumia faida ya uwanja wa nyumbani na kupata ushindi ama Pacers watakomaa?
Kwa kifurushi cha shilingi 35,000 unatazama fainali hii ya NBA mbashara kupitia ESPN1.
#NBA #ESPN #AzamTV