Nani anayeiongoza Vatican wakati Papa amelazwa hospitalini?

Papa Francis, mwenye umri wa miaka 88 amekuwa akipitia maambukizi ya mfumo wa upumuaji kwa zaidi ya wiki moja.