Namibia; nchi ya kwanza Afrika kuwa na Rais na Makamu wa Rais mwanamke

Rais mpya wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah ametangaza Baraza lake la Mawaziri la kwanza na kumteua Lucia Witbooi kuwa Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke wa taifa hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *