Namibia: Hakuna raia wa Marekani atakayeingia nchini bila ya viza; utekelezaji kuanza Aprili Mosi

Serikali ya Namibia imetangaza kuwa, raia wa Marekani wanaotaka kuitembelea nchi hiyo itawapasa wawe na viza kabla ya kuingia nchini humo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *