Jumba la Makumbusho ya Kiislamu katika Msikiti wa Al-Aqsa, Quds Tukufu (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu, lina idadi ya vitabu adimu, ikiwa ni pamoja na nakala ya kipekee ya Qur’ani iliyoandikwa kwa hati za Kufi, ambayo mwisho wake inaeleza kuwa iliandikwa na Al-Hasan bin Al-Hussen bin Ali bin Abi Talib (as), mjukuu wa Mtume Muhammad, (saw).
Related Posts
Zelenskyy: Ukraine imepokea pendekezo jipya la Marekani kuhusu makubaliano ya madini
Rais wa Ukraine amesema kuwa Kiev imepokea pendekezo jipya kutoka Marekani kuhusu makubaliano ya madini. Post Views: 12
Rais wa Ukraine amesema kuwa Kiev imepokea pendekezo jipya kutoka Marekani kuhusu makubaliano ya madini. Post Views: 12
Madai ya Trump kuhusu maeneo ya nchi nyingine, dhihirisho la ubeberu wa hali ya juu
Hatua isiyo ya kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoa amri ya kubadili jina la “Ghuba ya Mexico”…
Hatua isiyo ya kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoa amri ya kubadili jina la “Ghuba ya Mexico”…
Serikali ya Gaza: Zaidi ya Wapalestina elfu 61 wameuawa shahidi, familia 2,092 zimefutwa kabisa
Idara ya Vyombo vya Habari ya Serikali huko Gaza imesema kuwa vita vya maangamizi vilivyoanzishwa na utawala ghasibu wa Israel…
Idara ya Vyombo vya Habari ya Serikali huko Gaza imesema kuwa vita vya maangamizi vilivyoanzishwa na utawala ghasibu wa Israel…