Nairobi, mwenyeji wa Mkutano wa Ustaarabu wa Iran A/Mashariki

Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya jana Alkhamisi kilikuwa mwenyeji wa mkutano wa Ubalozi wa Iran wenye kaulimbiu inayosema “Kupekua Ushawishi wa Ustaarabu na Utamaduni wa Kiajemi kwa jamii za Afrika Mashariki.”