Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran lazima vifutwe

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia Masuala ya Kisiasa amesema: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya ambavyo vimewalenga watu wenye utamaduni na ustaarabu mkongwe wa Iran ni lazima viondolewe.