N Korea yathibitisha kutuma wanajeshi wake kupigania Urusi katika vita vya Ukraine

Ripoti kwamba wanajeshi wa Korea Kaskazini walikuwa wametumwa ziliibuka mwezi Oktoba, kufuatia kuimarika kwa uhusiano wa pande mbili kati ya Kim na Putin

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *