Mzozo wa Sudan: Unayofaa kujua baada ya jeshi la Sudan kuiteka tena ikulu ya Rais

Jeshi la Sudan linasema wapiganaji wake wameingia katika ikulu ya rais katikati mwa mji wa Khartoum. Katika wiki za hivi karibuni jeshi limeongeza kampeni yake dhidi ya Vikosi pinzani vya Msaada wa Haraka (RSF) katika mji mkuu, baada ya kupoteza udhibiti wa sehemu kubwa ya jiji hilo mwanzoni mwa vita mwaka 2023. Haya hapa ni baadhi ya mambo muhimu kuhusu vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *