Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 wauteka mji wa pili wa Congo

Baadhi ya watu walionekana wakishangilia wakati wapiganaji wa M23 walipoingia mjini bila upinzani, siku mbili baada ya kuchukua udhibiti wa uwanja wa ndege.