Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza kusitisha mapigano kwa ‘sababu za kibinadamu’

Muungano wa makundi ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa kundi la M23 wametangaza usitishaji mapigano wa kibinadamu kuanzia Jumanne.