Mzozo wa DRC: Uingereza yatangaza vikwazo dhidi ya Rwanda

Uingereza imetangaza itasitisha karibu misaada yote kwa Rwanda kutokana na nchi hiyo kuhusishwa na mzozo wa mashariki mwa Congo ambapo uasi wa kundi la M23 umesabisha vifo vya maelfu ya watu na kuwaacha mamilioni bila ya makazi.