Mzozo wa DRC: Mkutano wa M23 mjini Bukavu wakumbwa na milipuko

Bukavu ni mojawapo ya miji muhimu katika mkoa wa Kivu Kusini, ambao umeathiriwa na machafuko ya kisiasa kwa muda mrefu.