Mzozo wa DRC: Congo yakaidi shinikizo la kufanya mazungumzo na waasi wa M23

Waziri Mkuu wa Congo ameiambia BBC kuwa serikali yake haitakubali kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na waasi wa M23.