Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, IGAD na Rais Salva Kiir wajadili hali ya Sudan Kusini

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amefanya mazungumzo kuhusu hali ya nchi hiyo na ujumbe wa Umoja wa Afrika na Mamlaka ya Maendeleo ya Kikanda (IGAD), ofisi ya rais wa Sudan Kusini ilirifu kupitia mtandao wa Facebook.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *