Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu amepandishwa kizimbani leo May 19,2025 kusubiri kutajwa kwa kesi mbili za jinai zinazomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo uhaini na kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni.
#StarTvUpdate