Mwendesha Mashtaka wa ICC ataka kutolewa hati ya kukamatwa wahalifu wa vita katika jimbo la Darfur

Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ametangaza kwamba ofisi yake itatafuta vibali vya kukamatwa kwa wale wote wanaotuhumiwa kufanya ukatili katika jimbo la Darfur Magharibi mwa Sudan.