MWANGA HAFIFU, TAA KUZIMWA KISA NDEGE MECHI IKIENDELEA! BODI YA LIGI YAJA NA SULUHISHO LA KUDUMU?


PRIME

Ahoua asaka rekodi mpya Ligi Kuu

Mnyama Simba kwa sasa ni kama kajipata na licha ya kuachwa pointi moja na watani zao wa jadi wanaokimbizana nao kwenye kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, imesaliwa na mechi moja mkononi…