Mwanariadha wa Uganda auawa kwa kuchomwa moto

Madaktari na maafisa wa riadha wametangaza kuwa, mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegei, aliyeshiriki katika michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa amefariki dunia nchini Kenya leo.