Mvua na mafuriko yabomoa Msikiti mkongwe zaidi Niger

Maafa ya mvua na mafuriko yanaendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali za magharibi mwa Afrika na kusababisha maafa makubwa ikiwa ni pamoja na kubomoa Msikiti mkongwe zaidi nchini Niger.