Mvua kubwa na maporomoko ya udongo yasababisha vifo vya watu 37 kaskazini mwa Ethiopia

Karibu watu 37 wamepoteza maisha kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kaskazini mwa Ethiopia, ambapo maporomoko ya ardhi na mafuriko yameharibu maeneo mengi ya ukanda huo.