Muungano mkubwa zaidi wa Norway wapiga kura kuisusia Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi vya Norway (LO), kundi kubwa na lenye nguvu zaidi la wafanyakazi nchini humo limeidhinisha kususiwa pakubwa kiuchumi utawala wa Israel, katika hatua muhimu ya kudhihirisha mshikamano wa wafanyakazi wa Ulaya na Palestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *