Wakenya sita akiwemo mwanasiasa wa upinzani Martha Karua, Jaji mkuu wa zamani Willy Mutunga wameishitaki serikali ya Tanzania katika mahakama ya haki ya Afrika Mashariki EACJ kwa kuwashikilia kinyume cha sheria na kuwarejesha nchini mwao. Tumezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisheria Dunstan Omar kutoka Nairobi, Kenya, kuhusu uzito wa kesi hii, sikiliza mahojiano kamili.