Muqawama wa Ghaza watoa pigo jingine, waangamiza na kujeruhi Wazayuni 6

Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeripoti “tukio kubwa la usalama” katika Ukanda wa Ghaza na pigo jingine jipya kutoka kwa Muqawama dhidi ya wanajeshi vamizi wa Israel.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *