Muhusika wa faili la nyuklia la Iran: Tehran inatetea kwa nguvu zote mpango wake wa amani wa nyuklia

Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na muhusika wa faili la nyuklia la Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatetea kwa nguzu zote mpango wake wa nyuklia unaotekelezwa kwa malengo ya kiraia.