Muhoozi Kainerugaba: Ninamkubali Rais Samia Suluhu Hassan; ‘Asante mama’

Muhoozi Kainerugaba: Ninamkubali Rais Samia Suluhu Hassan; ‘Asante mama’

Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amemsifu Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa ni mmoja wa viongozi anaowafadhilisha zaidi wa Afrika aliowataja kuwa “wana maamuzi makubwa”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *