Mufti wa Uganda ataka kupigwa marufuku TikTok nchini humo

Mufti wa Uganda, Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje, ametoa mwito kwa serikali kuu kupiga marufuku programu ya mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo, ambayo anasisitiza kuwa inatumiwa na watu wasio na kazi kuwakashifu na kuwapata matope watu wengine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *