‘Mtu mwenye haya asiyefaa kuwa mwanasiasa: Errol Musk baba wa Elon azungumza kuhusu mwanaye

Elon Musk ndiye mtu tajiri zaidi duniani, mjasiriamali wa teknolojia aliyeweza kuwa na uhusiano na na kuingia kwa njia ya kipekee katika ofisi za juu zaidi za mamlaka ya kisiasa. BBC ilizungumza na baba yake Musk, Errol, ili kupata ufahamu kuhusu maisha ya utotoni ya Elon, na jinsi maisha hayo yalivyomuandaa kuwa mtu ambaye wengine wanamuita “rais asiye rasmi wa Marekani”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *