Mtikisiko wa kiuchumi nchini Uingereza; Kengele ya hatari kwa serikali ya Starmer

Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa uchumi wa Uingereza ulidorora mwanzoni mwa 2025, kinyume na utabiri, na kushuka huku kusikotarajiwa, ambako ni matokeo ya uzalishaji duni wa viwandani na kudorora kwa sekta muhimu, kumezidisha wasiwasi kuhusu mustakabali wa uchumi wa nchi hiyo na changamoto zinazoikabili serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Keir Starmer katika njia ya ukuaji wa uchumi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *