Mtibwa mabingwa Championship, Cosmo yaifuata Biashara United First League

MTIBWA Sugar imeibuka mabingwa wa Ligi ya Championship kwa msimu wa 2024-2025, baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kiluvya United, huku Cosmopolitan ikiungana na ‘Wanajeshi wa Mpakani’, Biashara United kucheza First League msimu ujao.

Mtibwa iliyorejea Ligi Kuu Bara baada ya kushuka msimu uliopita, imeibuka mabingwa baada ya kuongoza msimamo na pointi 71, nyuma ya Mbeya City iliyomaliza ya pili na pointi 68, kufuatia ushindi wa 5-0, dhidi ya Green Warriors.

Licha ya Biashara kulazimishwa sare ya 2-2, leo dhidi ya Polisi Tanzania, ila kikosi hicho kilishuka daraja kikiwa na mechi mbili mkono, ambapo imeungana rasmi na Cosmopolitan iliyomaliza msimu kwa kuchapwa 2-1 na Songea United.

Timu nyingine zitakazowania ‘play-off’ ya kubaki Championsh

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *