Mtandao wa kamera za Taliban zinazofuatilia mamilioni ya watu

“Tunaufuatilia mji mzima wa Kabul kutokea hapa,” anasema Khalid Zadran, msemaji wa ofisi ya mkuu wa polisi wa Taliban.