India imetangaza kuzipiga marufuku bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka au kupitia Pakistan. Mamlaka ya biashara za kigeni ya India imetangaza kuwa marufuku hiyo itaanza kutekelezwa mara moja hali inayoashiria kushadidi mvutano baina ya mataifa hayo.
Related Posts
Ethiopia yaanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya al-Shabab nchini Somalia
Jeshi la anga la Ethiopia limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa al-Shabab katika Mkoa wa Shabelle ya Kati…
Jeshi la anga la Ethiopia limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa al-Shabab katika Mkoa wa Shabelle ya Kati…

Shambulio kubwa la ndege isiyo na rubani ya Kiukreni dhidi ya Moscow yazuiwa – meya
Shambulio kubwa la ndege isiyo na rubani ya Kiukreni dhidi ya Moscow yazuiwa – meya (VIDEO) Ndege kumi na moja…
Shambulio kubwa la ndege isiyo na rubani ya Kiukreni dhidi ya Moscow yazuiwa – meya (VIDEO) Ndege kumi na moja…
Trump atamka rasmi: Marekani itawahamisha Wapalestina na ‘itaitwaa’ na ‘kuimiliki’ Ghaza
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza hadharani kwamba Marekani itachukua udhibiti wa Ukanda wa Ghaza, na kulijenga upya eneo hilo…
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza hadharani kwamba Marekani itachukua udhibiti wa Ukanda wa Ghaza, na kulijenga upya eneo hilo…