Msomi wa Misri amshambulia vikali Trump, aitaka Cairo kusimama kidete dhidi ya bwabwaja zake

Msomi wa Misri amemshambulia vikali Rais Donald Trump wa Marekani na kutoa wito wa kutolewa jibu kali dhidi ya kiongozi huyo akisema: “Lazima tusimame imara na ngangari dhidi ya Trump, na misaada ya Marekani inapaswa kupelekwa kuzimu.”