Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Masuala ya Kisiasa wa Iran amesema, mchango wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani aliyeaga dunia hivi karibuni, Papa Francis ambaye daima alikuwa mstari wa mbele kusaidia wanyonge na wahanga wa unyanyasaji na ukatili, na vile vile misimamo yake ya kijasiri dhidi ya ukandamizaji, dhulma, ubaguzi na unyanyasaji kamwe haitasahaulika.
Related Posts
Magaidi wafanya shambulio jingine baya la kigaidi Mali + Video
Takriban watu 40 wameuawa baada ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) kushambulia msafara wa usambazaji bidhaa katika nchi ya…
Takriban watu 40 wameuawa baada ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) kushambulia msafara wa usambazaji bidhaa katika nchi ya…
Urusi inafuta kituo cha amri cha Kiukreni katika Mkoa wa Kharkov – MOD (VIDEO)
Urusi inafuta kituo cha amri cha Kiukreni katika Mkoa wa Kharkov – MOD (VIDEO)Picha zinaonyesha majengo yanayokaliwa na vikosi vya…
Urusi inafuta kituo cha amri cha Kiukreni katika Mkoa wa Kharkov – MOD (VIDEO)Picha zinaonyesha majengo yanayokaliwa na vikosi vya…
Iran: Urutubishaji urani ‘haujadiliki’, mazungumzo chini ya mashinikizo hayatakuwa na tija
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema urutubishaji wa madini ya urani ukiwa ni sehemu ya mpango wa amani…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema urutubishaji wa madini ya urani ukiwa ni sehemu ya mpango wa amani…