Msikilize Rais Samia Suluhu Hassan akisimulia namna anavyotumiwa vipande vya video zikionesha vitendo vya rushwa na uvunjifu wa …

Msikilize Rais Samia Suluhu Hassan akisimulia namna anavyotumiwa vipande vya video zikionesha vitendo vya rushwa na uvunjifu wa …

Msikilize Rais Samia Suluhu Hassan akisimulia namna anavyotumiwa vipande vya video zikionesha vitendo vya rushwa na uvunjifu wa sheria vinavyofanywa na baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi, na namna anavyovirusha kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura kwa ajili ya hatua zaidi.

#AzamTVUpdates
✍Jairo Mtitu
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *