“Mshtuko” wa hali ya hewa waikumba miji mikubwa duniani, imo miji mikuu ya Afrika

Utafiti mpya wa hali ya hewa unaonyesha kuwa mabadiliko ya tabianchi tayari yanaathiri miji mingi mikubwa duniani, na kusababisha mabadiliko ya kushangaza kati ya hali ya hewa ya mvua na ya unyevu na ile ya ukame uliokithiri huku hali ya hewa ikizidi kuwa mbaya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *