Mshauri wa Kiongozi Muadhamu anaonya juu ya ‘hatua za kujihami’ za Iran dhidi ya IAEA

Mshauri mkuu wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kwamba vitisho dhidi ya Iran vinaweza kusababisha kusimamishwa ushirikiano wa Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na kufukuzwa wakaguzi wake hapa nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *