Mshauri: Ikiwa Marekani itafanya kosa, Iran itaunda silaha za Nyuklia

Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, iwapo Marekani itafanya ‘kosa’ lolote, Iran italazimika, kwa mashinikizo ya wananchi wake, kuelekea kwenye uundaji wa silaha za nyuklia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *