Mripuko wa homa ya uti wa mgongo waua makumi Nigeria

Watu wasiopungua 26 wameaga dunia kutokana na mripuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo wa ubongo (Meningitis) katika Jimbo la Kebbi kaskazini magharibi mwa Nigeria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *