Mpasuko Israel, Smotrich ajiondoa katika utawala wa Netanyahu

Waziri wa Fedha wa  utawala haramu wa Israel, Bezalel Smotrich, ametangaza kujiuzulu kutoka wadhifa wake, jambo ambalo linaongeza matatizo ndani ya serikali ya muungano ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *