Mpango wa utalii wa Visit Rwanda ‘haulingani na maadili ‘ ya PSG – Mulumbu

Nahodha wa zamani wa DR Congo, Youssouf Mulumbu ametoa wito kwa Paris St-Germain kutafakari upya ushirikiano wake na mpango wa utalii wa Rwanda wa Tembea Rwanda (al- maarufu Visit Rwanda )