Moto waua 50 katika ukumbi wa starehe Macedonia Kaskazini

Moto uliokumba klabu ya anasa katika mji wa Kocani, Macedonia Kaskazini usiku wa manane wa kuamkia leo umesababisha makumi ya watu kuaga dunia na kujeruhiwa, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya ndani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *