Moto mkubwa unaendelea kuteketeza maeneo mengi ya utawala ghasibu wa Israel huku opereshei ya kuhamisha wakazi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ikiendelea. Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeiripoti kuwa moto huo umeenea katika maeneo mapya ya Quds inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem ) na kusambaa hadi katika makumbusho ya zana za kivita za jeshi la Israel.
Related Posts
Tanzania kunufaika na uwezo wa kiteknolojia wa Iran
Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika, ulifanyika April 27 to May 1, 2025 jijini…
Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika, ulifanyika April 27 to May 1, 2025 jijini…
Rais wa Iran: Mwelekeo wa mazungumzo unategemea mwenendo wa Wamarekani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran haijawahi kukwepa mazungumzo, lakini ni aina ya mwenendo wa Wamarekani…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran haijawahi kukwepa mazungumzo, lakini ni aina ya mwenendo wa Wamarekani…
Kesi dhidi ya wanajeshi wa Kiukreni: hali katika Mkoa wa Kursk
Kesi dhidi ya wanajeshi wa Kiukreni: hali katika Mkoa wa KurskWachunguzi wa Urusi wameanzisha kesi tatu za jinai dhidi ya…
Kesi dhidi ya wanajeshi wa Kiukreni: hali katika Mkoa wa KurskWachunguzi wa Urusi wameanzisha kesi tatu za jinai dhidi ya…